Twins love
Senior Member
- Jan 27, 2022
- 114
- 160
Ivi vifaa vina thamani ya bei gani?Eneo
Wafanyakazi
Pressure mashine
Vacuum
Mkuu kama bado ujapata vijana wa kazi nipo hapa, tuchekianeHabari zenu,
Ninatamani kufungua carwash lakini sijui lolote juu ya hi kazi, naomba kufahamu vitu gani muhimu vinatakiwa, mtaji kiasi gani, changamoto zake, faida zake na mambo mengine muhimu ambayo napaswa nizingatie kabla ya kufungua carwash
Kama madeal yanakuelemea tupeane connection mkuu nipo hapaMkuu hiyo biashara yako inafaa pembeni uwe na kibanda classic cha vifaa vidogo vidogo vya magari
Ninacho kibanda classic utakipenda nilikua nafanyia biashara hiyo ila kwa sasa nimesimama madeal yameingiliana
Hahaha hayajanielemea mkuu, yameingiliana tuKama madeal yanakuelemea tupeane connection mkuu nipo hapa
Ndo kukuelemea kwenye uko mkuuHahaha hayajanielemea mkuu, yameingiliana tu