Naomba kufahamu bei halisi za airpods Pro hizi kwa anayefahamu.

Naomba kufahamu bei halisi za airpods Pro hizi kwa anayefahamu.

Rangooo

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2022
Posts
243
Reaction score
408
Habari wakuu,

Kwa yeyeto anayefahamu kuhusu airpods naomba ajisaidie kujua kuhusu bei zake, asanteni.View attachment 2719753View attachment 2719751View attachment 2719754View attachment 2719752
IMG_20230817_120043.JPG
 
Izo Original za Apple au mchina wa Manzese?

Kama Original Pro 1 unaweza pata kwa laki 3-4 na Pro 2 andaa Laki 5-6.

Kama mchina izo elfu 10, zipo hadi za 50 maana zinatofautiana ubora.
 
Izo Original za Apple au mchina wa Manzese?

Kama Original Pro 1 unaweza pata kwa laki 3-4 na Pro 2 andaa Laki 5-6.

Kama mchina izo elfu 10, zipo hadi za 50 maana zinatofautiana ubora.
Samahn mkuu unajuaje kama ni original ya apple
 
Back
Top Bottom