Naomba kufahamu bei halisi za airpods Pro hizi kwa anayefahamu.

Izo Original za Apple au mchina wa Manzese?

Kama Original Pro 1 unaweza pata kwa laki 3-4 na Pro 2 andaa Laki 5-6.

Kama mchina izo elfu 10, zipo hadi za 50 maana zinatofautiana ubora.
 
Samahn mkuu unajuaje kama ni original ya apple
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…