Naomba kufahamu bei ya cement kwa bei ya leja leja

Salimia kwanza, hebu tuamkie kaka zako then andika vizuri shida yako.
 
Uko wap?
Huku kigamboni cement ni 15k
 
Naomba kufahamu bei ya cement kwa bei ya leja leja aina ya TWIGA, DANGOTE, TEMBO.
Pia bei ya bando la bati???
Naombeni msaada ndugu zangu πŸ™πŸ™
Bei za hivyo vitu inategemea na mkoa ulipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…