Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gunia moja la dengu ni bei gani kwa wakati huuNaomba kufahamu bei ya gunia la Dengu kwa wanaolima zao Hilo
Nahic msimu was biashara bado cjui huko kwenu dengu nyingi ndio zinaanza kukauka sasaGunia moja la dengu ni bei gani kwa wakati huu
Asante sanaKwa sasa bei ya dengu vijijini ni 900 kwa kilo ila wafanya biashara wanapeleka singida mjini kwa 1050 kwa kilo na gunia linaweza kuwa na kilo 120 na kuendelea
Nb: bei inabadilika muda wowote