Kwa sasa bei ya dengu vijijini ni 900 kwa kilo ila wafanya biashara wanapeleka singida mjini kwa 1050 kwa kilo na gunia linaweza kuwa na kilo 120 na kuendelea
Nb: bei inabadilika muda wowote