Naomba kufahamu bei ya gunia la viazi mviringo (viazi mbatata)

Naomba kufahamu bei ya gunia la viazi mviringo (viazi mbatata)

Joined
Jul 27, 2016
Posts
49
Reaction score
14
Habari wana jf

Natumaini mko poah. Nataka kujua gunia moja la viaz mviringo kwa daresalam shiling ngapi?.
Nakaribisha majibu
 
Back
Top Bottom