Yaan kama hii?
Ahaaa umenikumbusha mbali sana niliitengeneza mwaka 2018 kama sijakosea. Niliitengeneza kababe sana, niliiba vipimo kwny duka la kichina Dar. Vpimo vingine nilitumia macho, mikono na kila kitu kilichoniwezesha kupata vpimo mpaka mchina ananistukia nilishabeba taarifa za kutosha. Baadae sana nikaunganishwa na chama fulani cha wakulima mpunga morogoro wanayo ndio nikamalizia mzigo Iringa. Kilichonifurahisha na kunisikitisha, wkt naweka hizo puli zioperate at 90 degrees to each other, waalimu wa veta walibisha kwamba haiwezekani sbb belt itatoka tu. Kumbe nao walikua na project ndogo iliyotaka kubadili kubadili uelekeo wa mzunguko, ilivyofanikiwa yangu walifurahi sana.