Naomba kufahamu bei ya mpunga Ifakara

Naomba kufahamu bei ya mpunga Ifakara

Singidan

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
881
Reaction score
942
Habari wadau.

Naomba kufahamu Bei ya mpunga kwa eneo la Ifakara ni shilingi ngapi kwa sasa kwa gunia la debe kumi au bei ya Debe moja.

Lengo langu nataka nianze kununua kwa sasa ili mwezi wa 12 Bei ikiwa nzuri niuze.
 
Mkuu kufikia January Huwa unapanda Hadi kiasi gn kwa gunia Hilo?
Huwa inafika hadi 120,000/130000 ila mwaka mwengine inawe za ikaishia laki moja,, mpunga haueleweki soko lake linategemea upungufu wa mchele masoko makubwa
 
Back
Top Bottom