Singidan JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 881 Reaction score 942 Jul 14, 2020 #1 Habari wadau. Naomba kufahamu Bei ya mpunga kwa eneo la Ifakara ni shilingi ngapi kwa sasa kwa gunia la debe kumi au bei ya Debe moja. Lengo langu nataka nianze kununua kwa sasa ili mwezi wa 12 Bei ikiwa nzuri niuze.
Habari wadau. Naomba kufahamu Bei ya mpunga kwa eneo la Ifakara ni shilingi ngapi kwa sasa kwa gunia la debe kumi au bei ya Debe moja. Lengo langu nataka nianze kununua kwa sasa ili mwezi wa 12 Bei ikiwa nzuri niuze.
feisar wa moro JF-Expert Member Joined Mar 17, 2020 Posts 365 Reaction score 858 Sep 24, 2020 #2 Gunia la debe 10 shling 80,000/90,000
Singidan JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 881 Reaction score 942 Sep 25, 2020 Thread starter #3 feisar wa moro said: Gunia la debe 10 shling 80,000/90,000 Click to expand... Mkuu kufikia January Huwa unapanda Hadi kiasi gani kwa gunia Hilo?
feisar wa moro said: Gunia la debe 10 shling 80,000/90,000 Click to expand... Mkuu kufikia January Huwa unapanda Hadi kiasi gani kwa gunia Hilo?
feisar wa moro JF-Expert Member Joined Mar 17, 2020 Posts 365 Reaction score 858 Sep 25, 2020 #4 Singidan said: Mkuu kufikia January Huwa unapanda Hadi kiasi gn kwa gunia Hilo? Click to expand... Huwa inafika hadi 120,000/130000 ila mwaka mwengine inawe za ikaishia laki moja,, mpunga haueleweki soko lake linategemea upungufu wa mchele masoko makubwa
Singidan said: Mkuu kufikia January Huwa unapanda Hadi kiasi gn kwa gunia Hilo? Click to expand... Huwa inafika hadi 120,000/130000 ila mwaka mwengine inawe za ikaishia laki moja,, mpunga haueleweki soko lake linategemea upungufu wa mchele masoko makubwa