Naomba kufahamu bei ya toyota gaia

Naomba kufahamu bei ya toyota gaia

ntantau

Member
Joined
May 23, 2015
Posts
71
Reaction score
126
Habari za weekend wakuu. Naomba kufahamu bei ya toyota gaia used kutoka japan.

Nitashukuru pia kama nitapata ushauri kuhusu uzuri na ubovu wa gari hii kutoka kwenu wataalamu wa magari.
 
hii gari wataka ya kuagiza, au showroom au ya mkononi.??
tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom