ntantau Member Joined May 23, 2015 Posts 71 Reaction score 126 Jul 23, 2017 #1 Habari za weekend wakuu. Naomba kufahamu bei ya toyota gaia used kutoka japan. Nitashukuru pia kama nitapata ushauri kuhusu uzuri na ubovu wa gari hii kutoka kwenu wataalamu wa magari.
Habari za weekend wakuu. Naomba kufahamu bei ya toyota gaia used kutoka japan. Nitashukuru pia kama nitapata ushauri kuhusu uzuri na ubovu wa gari hii kutoka kwenu wataalamu wa magari.
galindas JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 978 Reaction score 1,305 Jul 23, 2017 #2 Renyo atakujibu bila shaka. Sent using Jamii Forums mobile app
floow JF-Expert Member Joined Mar 20, 2017 Posts 411 Reaction score 855 Jul 23, 2017 #3 4m-4.5 Haizid hapo Sent using Jamii Forums mobile app
ntantau Member Joined May 23, 2015 Posts 71 Reaction score 126 Jul 23, 2017 Thread starter #4 floow said: 4m-4.5 Haizid hapo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Vp kuhusu upatikanaji wa spea zake.. Je!! Huwa ni gari zenye kusumbuaa??
floow said: 4m-4.5 Haizid hapo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Vp kuhusu upatikanaji wa spea zake.. Je!! Huwa ni gari zenye kusumbuaa??
ntantau Member Joined May 23, 2015 Posts 71 Reaction score 126 Jul 23, 2017 Thread starter #5 galindas said: Renyo atakujibu bila shaka. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Thanks.. Namsubiriaa
galindas said: Renyo atakujibu bila shaka. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Thanks.. Namsubiriaa
floow JF-Expert Member Joined Mar 20, 2017 Posts 411 Reaction score 855 Jul 23, 2017 #6 ntantau said: Vp kuhusu upatikanaji wa spea zake.. Je!! Huwa ni gari zenye kusumbuaa?? Click to expand... Spea zinapatkana ila maduka yake sio mengi sana Sent using Jamii Forums mobile app
ntantau said: Vp kuhusu upatikanaji wa spea zake.. Je!! Huwa ni gari zenye kusumbuaa?? Click to expand... Spea zinapatkana ila maduka yake sio mengi sana Sent using Jamii Forums mobile app
Msuya Jr. JF-Expert Member Joined May 31, 2013 Posts 1,691 Reaction score 899 Jul 24, 2017 #7 hii gari wataka ya kuagiza, au showroom au ya mkononi.?? tuanzie hapo
ntantau Member Joined May 23, 2015 Posts 71 Reaction score 126 Jul 24, 2017 Thread starter #8 renyo said: hii gari wataka ya kuagiza, au showroom au ya mkononi.?? tuanzie hapo Click to expand... Ya mkononi mkuu
renyo said: hii gari wataka ya kuagiza, au showroom au ya mkononi.?? tuanzie hapo Click to expand... Ya mkononi mkuu
MAGARI7 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2016 Posts 2,401 Reaction score 1,303 Jul 25, 2017 #9 floow said: 4m-4.5 Haizid hapo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... 4.5, ya kununua hapa hapa Tanzania.?! Au yakuagiza kutoka japan?
floow said: 4m-4.5 Haizid hapo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... 4.5, ya kununua hapa hapa Tanzania.?! Au yakuagiza kutoka japan?
Chuck j JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 2,366 Reaction score 828 Jul 25, 2017 #10 Ninayo Sent using Jamii Forums mobile app