agrib4life
Member
- Jul 31, 2022
- 72
- 88
Nimefikiria kuufanya huu mchongo wa kusambaza pocket za sigara kwenye maduka ya rejareja .
Hivyo naomba kufahamu bei wanazouza pocket za sigara kwenye maduka ya jumla (Mawakala) pamoja na bei wanazouza kwa pocket wauzaji wa rejareja.
Asante sana [emoji120]