Naomba kufahamu biashara ya gesi ya kupikia

maila majani

Senior Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
110
Reaction score
11
Ndugu zangu napenda nianzishe biashara ya majiko ya gesi kwa ajili ya matumizi ya kupikia lakini kiukweli biashara hii siijui vizuri, tafadhali naomba msaada wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…