Naomba kufahamu biashara ya Uwakala wa TIGO-PESA

Joined
Apr 27, 2021
Posts
38
Reaction score
32
Habari wapendwa,

Poleni na majukumu, bado nipo kwenye harakati za upambanaji hivyo nahitaji msaada wenu.

Nataka kuanza biashara ya Tigopesa, Je what are the procedures ya kupata line ya wakala wa Tigopesa kwa yeyote anayefahamu.

Asanteni.


Ushauri wa mdau

Nyuzi unaoshauriwa kusoma:
  1. Biashara ya uwakala M-PESA, TIGO-PESA, AIRTEL-MONEY
  2. Biashara ya uwakala wa simu na benki (M- pesa, Airtel money, Tigo pesa, Fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa sh. ngapi?
 
Uzi nyingi zimo humu kuhusu hiyo biashara and more...wewe search tu google 'biashara ya uwakala jamiiforums' zitakuja option kibao utachugua mwenywe uingie wapi ukajifunze kila kitu kuhusu hiyo biashara.
 
1. Nenda TRA wakupe Tin , wafanye na makadilio yao, walipe then Wakupe Tax clearance Form.
2. Nenda ofisi ya Halmashauri/ manispaaa wakupe leseni ya biashara
3. Beba passport size na hizo documents ukiwa na 10000/- kwa ajili ya mwanasheria. Mtafute Wakala mkuu wa Mtandao husika. Atakamilisha Kila kitu. Then andaa hela ya float . Baada ya mwez au miez miwili kachukue till yako.

Then Rud hapa kwenye Huu uzi washukuru wadau
 
Asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…