Naomba kufahamu Car Insurer anayelipa kwa haraka hapa Tanzania

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,419
Wakuu naomba kutoa malalamiko yangu kwa insurer X ambae amehold kutoa approval ya matengenezo ya gari yangu wakati kila kitu kipo mezani kwake wiki ya 3 hiii.

Gari yangu ilikuwa na comprehensive insurance na ilipata ajali ya kawaida na imediately nilikamilisha taarifa za polisi ikiwa ni pamoja na kulipia gharama za awali. Kabla sijamtaja uyu insurer wangu naomba kupewa list ya insuer wa magari wanaolipa kwa haraka based on your experience
 
Utakuwa hujasaidia aache hiyo tabia bila kumuanika hadharani
 
Nilikua nina Claim Alliance Insurance,
Baada ya kukamilisha kila kitu nililipwa same week.

Nadhan pia Broker wangu alikua Sharp kufuatilia Documents mbalimbali za ajali.
 
We jamaa hutaki kumtaja huyo insurer ila unataka sisi tuwataje wa kwetu unamficha nini sasa.

Mimi nilikuwa nawadai UAP nilikoma, miezi 5 danadana.
 
Chonde, chonde baba. Usimuanike hadharani huyo insurer. Biashara yake itaharibika. Ni ombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…