Naomba kufahamu changamoto na mafanikio ya biashara ya maabara!

Mimi sina uzoefu na maabara. Nina uzoefu na dispensary maabara ikiwa ndani yake.

Changamoto kubwa ni kama ifuatavyo

1. Wafanyakazi. Kupata wafanyakazi competent, kulipa mishahara, na wasiwe wanakuibia ni ishu kubwa. Aidha, kutoa huduma bora ili watu washawishike na huduma yako ni changamoto nyingine.

2. Leseni na kodi ni nyingi.

3. Utumiaji wa mashine kama watumiaji hawana weledi wa kutosha zinaweza kuharibika kila siku na kukusababishia hasara kubwa. Ni hayo tu kwa uchache
 
Thanks!
Vipi biashara yake, inazaa na kuleta kipato Cha kutosha?
 
Tayarisha fungu la ADUI WA HAKI, mbali na ada uliyolipia 10ml,ili asokomezwe serekalini.
 
Back
Top Bottom