Naomba kufahamu chimbo zuri la Mitumba Ilala

Joyce wohwoh

Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
80
Reaction score
185
Last Friday nimepata uzoefu kidogo wa soko la nguo za wadada Ilala japo wanunuzi wenzangu na wauzaji walijua kabisa mimi ni mgeni pale. Nilinunua magauni matatu kwa wale wanaonadi kila gauni kwa elfu 5.

Nikaenda uza ofisini kila gauni kumi na tano. Nimepanga tena kwenda ijumaa. Naombeni muongozo ni mgeni mno kwenye hii biashara hasa pale Karume, siku gani nzuri ya kupata mzigo mzuri? Muda sahihi wa kuwepo pale?

Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…