Naomba kufahamu dawa au chanjo ya kuwatibu kuku

Naomba kufahamu dawa au chanjo ya kuwatibu kuku

nyangwara

Senior Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
130
Reaction score
51
Heshima kwenu wana JF, Mimi ni mfugaji mdogo Wa kuku Wa kienyeji kwa ajili ya mboga nyumbani, ufugaji huo nimeanza mwezi Wa nane mwaka huu. Lakini wiki iliyoisha kuku wameanza kuugua na wengine kufa. Naomba anaejua dawa ya chanjo au kuwanywesha anisaidie then nikanunue au kutafuta popote.
 
Mtafute bwan Mifugo aliyekaribu na wewe, atakusaidia tatizo lako
 
Hiki ni kipindi cha mdondo, unapukutisha kuku balaa! Mtaani kwetu kuku wameisha wote.
 
Back
Top Bottom