Naomba kufahamu dawa ya kuzuia NDEVU kuota haraka

Mimi napenda ndevu na ninazo lkn tatizo hazina ushirikiano, nikiziacha nakua na muonekano wa hovyo pia kama wewe zinaota muda mfupi
 
Dawa ni hii fuata maelekezo chukua kaa la moto pitishia sehemu ambazo hutaki ziote nywele baada ya hapo kesi yako imepata ufumbuzi kila la heri fuata maelekezo!!
 
Mi natafuta kinyume chake, ni dawa ipi itafanya nistawi madevu... kiasili ni hatuna mchebe!
 
Mkuu, wamasai wako na kila dawa, mpaka dawa ya viti maalum [emoji23]
 
Nyoa kwa kutumia magic! Ile inang'oa ndevu hadi kwenye shina!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…