Naomba kufahamu Daylight Saving Time na Standard Time

Mdugo

Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
55
Reaction score
37
Samahani wanajamvi, sijui Kama ni jukwaa husika ila naomba walau kujua Maana halisi ya Daylight Saving Time na Jinsi inavyoathiri biashara na shughuli za kiuchumi kwa nchi zinazohusika ikiwemo marekani.

Naomba kujua inawasaidiaje na kazi wanafanyaje, ni kwamba wanawahi kazini SAA moja kabla au wanachelewa kazini SAA moja kabla? Kuna changamoto naipata navojaribu Ku map masaa yao na yetu kuanzia tarehe 10, March.

Kwa mfano, hapo kabla ya tar 10 March, ikiwa 1730 Tanzania kwao ilikuwa 0930... Vipi kuhusu sasa?

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

The easiest way is to use Google!! Go to timeanddate.com you can view all the different time zones.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…