Ipo hivi...Asante sana boss. Vipi material mengine yanayotakiwa ni nini na kiasi gani.
Ipo hivi...
Square mita inarange kuanzia 15,000 hadi 25,000 inategemea na eneo, huko Arusha mnapigwa bei kubwa. Ukinunua kiwandani bei inaweza kuwa 20,000.
Ushauri wangu tafuta fundi mwenye hizo mould, chagua aina ya paving uitakayo na maua yake akufyatulie. Gharama zake zinaweza kuwa chini tofauti na ukinunua kiwandani au huko nje.
Utahitaji vitu vifuatavyo:
Fundi anafyatua mfuko mmoja wa cement kwa sh 6,000.
Mfuko 1 unatoa pavement 100
Mfuko mmoja unafyatua pavement za kujaza sqm 2.2
Kwa sqm 165 unahitaji trip 3 za kifusi cha Moramu.
Unahitaji trip 2 za mchanga laini
Unahitaji cement mifuko 60.
Unahitaji ulipie fedha isiyozidi laki 1 kwa kusambaza kifusi ndani ya eneo lako.
Unahitaji mchanga mkubwa trip 1
Unahitaji ukodi mashine compactor ya kushindilia udongo bei yake haizidi laki 1
Unahitaji ununue rangi mifuko kama 10 hivi kila mfuko elfu 10.
Then ya mwisho unahitaji kumlipa fundi gharama za kupanga pavement...mara nyingi gharama ya kupanga paving sqm 1 ni elfu 3.
Utapata unachosta9
hili.
Dah kaka ubarikiwe sana. Mambo yako yanyooke vile unavyopenda yawe kwa uweza wa Mungu. I cannot thank you enough! Umenipa mwanga mzuri sana. Na copy paste maelekezo yako kwa MS word yatakuwa muongozo mzuri sana. Nitamtafuta fundi afyatulie home naona kwa mazingira yangu its much better and cheap. Please usinichoke nikihitaji muongozo next time PM.Ipo hivi...
Square mita inarange kuanzia 15,000 hadi 25,000 inategemea na eneo, huko Arusha mnapigwa bei kubwa. Ukinunua kiwandani bei inaweza kuwa 20,000.
Ushauri wangu tafuta fundi mwenye hizo mould, chagua aina ya paving uitakayo na maua yake akufyatulie. Gharama zake zinaweza kuwa chini tofauti na ukinunua kiwandani au huko nje.
Utahitaji vitu vifuatavyo:
Fundi anafyatua mfuko mmoja wa cement kwa sh 6,000.
Mfuko 1 unatoa pavement 100
Mfuko mmoja unafyatua pavement za kujaza sqm 2.2
Kwa sqm 165 unahitaji trip 3 za kifusi cha Moramu.
Unahitaji trip 2 za mchanga laini
Unahitaji cement mifuko 60.
Unahitaji ulipie fedha isiyozidi laki 1 kwa kusambaza kifusi ndani ya eneo lako.
Unahitaji mchanga mkubwa trip 1
Unahitaji ukodi mashine compactor ya kushindilia udongo bei yake haizidi laki 1
Unahitaji ununue rangi mifuko kama 10 hivi kila mfuko elfu 10.
Then ya mwisho unahitaji kumlipa fundi gharama za kupanga pavement...mara nyingi gharama ya kupanga paving sqm 1 ni elfu 3.
Utapata unachostahili.
Sawa karibu sana, ubarikiwe na wewe pia.Dah kaka ubarikiwe sana. Mambo yako yanyooke vile unavyopenda yawe kwa uweza wa Mungu. I cannot thank you enough! Umenipa mwanga mzuri sana. Na copy paste maelekezo yako kwa MS word yatakuwa muongozo mzuri sana. Nitamtafuta fundi afyatulie home naona kwa mazingira yangu its much better and cheap. Please usinichoke nikihitaji muongozo next time PM.
Shukrani sana kaka, nitazingatia hilo pia.Sawa karibu sana, ubarikiwe na wewe pia.
Kuna nyongeza moja, mafundi wengine ili pavement ziwe imara wanahitaji kuchanganya na lile vumbi la mawe....kwahiyo unaweza kuambiwa linahitajika vumbi trip moja huwa linapatikana kwenye wanaposaga kokoto.
umefanya uchaguzi sahihi kufyatua mwenyewe, All the best
Ipo hivi...
Square mita inarange kuanzia 15,000 hadi 25,000 inategemea na eneo, huko Arusha mnapigwa bei kubwa. Ukinunua kiwandani bei inaweza kuwa 20,000.
Ushauri wangu tafuta fundi mwenye hizo mould, chagua aina ya paving uitakayo na maua yake akufyatulie. Gharama zake zinaweza kuwa chini tofauti na ukinunua kiwandani au huko nje.
Utahitaji vitu vifuatavyo:
Fundi anafyatua mfuko mmoja wa cement kwa sh 6,000.
Mfuko 1 unatoa pavement 100
Mfuko mmoja unafyatua pavement za kujaza sqm 2.2
Kwa sqm 165 unahitaji trip 3 za kifusi cha Moramu.
Unahitaji trip 2 za mchanga laini
Unahitaji cement mifuko 60.
Unahitaji ulipie fedha isiyozidi laki 1 kwa kusambaza kifusi ndani ya eneo lako.
Unahitaji mchanga mkubwa trip 1
Unahitaji ukodi mashine compactor ya kushindilia udongo bei yake haizidi laki 1
Unahitaji ununue rangi mifuko kama 10 hivi kila mfuko elfu 10.
Then ya mwisho unahitaji kumlipa fundi gharama za kupanga pavement...mara nyingi gharama ya kupanga paving sqm 1 ni elfu 3.
Utapata unachostahili.
Thanks for acknowledgeAsante kaka, umetusaidia na sisi wengine tuliokuwa na shida kama hiyo, maelezo yamenyooka bila chenga.
Wewe mwamba ntakutafutaIpo hivi...
Square mita inarange kuanzia 15,000 hadi 25,000 inategemea na eneo, huko Arusha mnapigwa bei kubwa. Ukinunua kiwandani bei inaweza kuwa 20,000.
Ushauri wangu tafuta fundi mwenye hizo mould, chagua aina ya paving uitakayo na maua yake akufyatulie. Gharama zake zinaweza kuwa chini tofauti na ukinunua kiwandani au huko nje.
Utahitaji vitu vifuatavyo:
Fundi anafyatua mfuko mmoja wa cement kwa sh 6,000.
Mfuko 1 unatoa pavement 100
Mfuko mmoja unafyatua pavement za kujaza sqm 2.2
Kwa sqm 165 unahitaji trip 3 za kifusi cha Moramu.
Unahitaji trip 2 za mchanga laini
Unahitaji cement mifuko 60.
Unahitaji ulipie fedha isiyozidi laki 1 kwa kusambaza kifusi ndani ya eneo lako.
Unahitaji mchanga mkubwa trip 1
Unahitaji ukodi mashine compactor ya kushindilia udongo bei yake haizidi laki 1
Unahitaji ununue rangi mifuko kama 10 hivi kila mfuko elfu 10.
Then ya mwisho unahitaji kumlipa fundi gharama za kupanga pavement...mara nyingi gharama ya kupanga paving sqm 1 ni elfu 3.
Utapata unachostahili.
Sawa kabisa, nimeamua kutengeza mwenyewe kama alivyopendekeza mdau huko juu. Asante sana kwa mawazo mazuri pia!Wastani wa bei ya kuweka paving blocks kwa meta moja ya mraba (square metre) ni shilingi 20,000 za kitanzania (Plus or minus kulingana na mahali ulipo, aina ya ardhi,designs utakayochagua, ...n.k.).
Piga hesabu kiasi cha eneo ulilonalo x 20,000/= utapata rough estimates za kuanzia hiyo kazi.
WellIpo hivi...
Square mita inarange kuanzia 15,000 hadi 25,000 inategemea na eneo, huko Arusha mnapigwa bei kubwa. Ukinunua kiwandani bei inaweza kuwa 20,000.
Ushauri wangu tafuta fundi mwenye hizo mould, chagua aina ya paving uitakayo na maua yake akufyatulie. Gharama zake zinaweza kuwa chini tofauti na ukinunua kiwandani au huko nje.
Utahitaji vitu vifuatavyo:
Fundi anafyatua mfuko mmoja wa cement kwa sh 6,000.
Mfuko 1 unatoa pavement 100
Mfuko mmoja unafyatua pavement za kujaza sqm 2.2
Kwa sqm 165 unahitaji trip 3 za kifusi cha Moramu.
Unahitaji trip 2 za mchanga laini
Unahitaji cement mifuko 60.
Unahitaji ulipie fedha isiyozidi laki 1 kwa kusambaza kifusi ndani ya eneo lako.
Unahitaji mchanga mkubwa trip 1
Unahitaji ukodi mashine compactor ya kushindilia udongo bei yake haizidi laki 1
Unahitaji ununue rangi mifuko kama 10 hivi kila mfuko elfu 10.
Then ya mwisho unahitaji kumlipa fundi gharama za kupanga pavement...mara nyingi gharama ya kupanga paving sqm 1 ni elfu 3.
Utapata unachostahili.
Unajua kuweka mambo katika namna rahisi na kueleweka. Hongera mkuu.Wastani wa bei ya kuweka paving blocks kwa meta moja ya mraba (square metre) ni shilingi 20,000 za kitanzania (Plus or minus kulingana na mahali ulipo, aina ya ardhi, designs utakayochagua, ...n.k.).
Piga hesabu kiasi cha eneo ulilonalo x 20,000/= utapata rough estimates za kuanzia hiyo kazi.
umesaidia wengiThanks for acknowledge