Naomba Kufahamu: File la kesi baada ya kukamilika kwa upelelezi huchukua muda gani?

Naomba Kufahamu: File la kesi baada ya kukamilika kwa upelelezi huchukua muda gani?

Chance ndoto

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
4,363
Reaction score
10,265
File la kesi baada ya kukamilika kwa upelelezi huchukua muda gani kufanyiwa kazi linapofika katika ofisi za DPP (Sasa ziko Dodoma). Maana upelelezi unachukua mwaka mmoja vipi huko mbele je!

Ningependa kufahamu kwa watu mliokaribu na ofisi husika au wajuzi wa fani hiyo.

Asante
 
Lazima uchelewefu uwepo. Suala la muda itategemea umeelewa hayo mazingira kwa wepesi gani
 
Back
Top Bottom