File la kesi baada ya kukamilika kwa upelelezi huchukua muda gani kufanyiwa kazi linapofika katika ofisi za DPP (Sasa ziko Dodoma). Maana upelelezi unachukua mwaka mmoja vipi huko mbele je!
Ningependa kufahamu kwa watu mliokaribu na ofisi husika au wajuzi wa fani hiyo.
Asante