Naomba kufahamu fursa za biashara zilizopo Ukerewe

Naomba kufahamu fursa za biashara zilizopo Ukerewe

Black Mann

Senior Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
140
Reaction score
209
Habari za jioni Ndugu zangu,

Naomba kufahamu fursa za biashara zilizopo Ukerewe, pia kama kuna mwenyewe hapa aliyepo kule naomba tuwasiliane, nimesikia kuna fursa nyingi za biashara maana hakuna Huduma nyingi saana mpaka usogee Mwanza kabisa!
 
Unaweza chukua nyama ukaleta mwanza machungwa n meng malimao n meng sana kwa Ukerewe ukleta Mwanza we rudi na nguo za spesho zile za kuanzia 4000 mpaka 16000 mana wengi awanunui za kufika 25000 uko nakuendelea nenda visiwa vyote goba Ghana Ukara nk utapga hela zako mpka ujishangae.
 
Unaweza chukua nyama ukaleta mwanza machungwa n meng malimao n meng sana kwa ukerewe ukleta mwanza we rud na nguo za spesho zile za kwanzia 4000 mpka 16000 mana weng awanhnui za kufka 25000 uko nakuendelea nenda visiwa vyote goba ghana ukara nk utapga hela zako mpka ujishangae
Asante kwa ushahurii, wewe ni mwenyeji hukoo??? Hayo machingwa na malimao si Yana msimu?
 
Habari za jioni Ndugu zangu,
Naomba kufahamu fursa za biashara zilizopo Ukerewe, pia kama kuna mwenyewe hapa aliyepo kule naomba tuwasiliane, nimesikia kuna fursa nyingi za biashara maana hakuna Huduma nyingi saana mpaka usogee mwanza kabisaa!!
Ni vizuuri ukatembelea mwenyewe.
 
Biashara ya ngele
Wanaita jingele. Hawa ni samaki ni watamu sana..ila biashara ya nafaka hasa mahindi yanalipa sana.

Ila inafaaa ufike visiwani huko biashara inamzunguko sana.

Najua kidogo wengine wataongezea mkuu
 
Utamu wa ngoma uingie kucheza ....hebu panga safari uende huko ujionee mmnilifika huko longtime 2011 ....
 
Biashara ya ngele
Wanaita jingele. Hawa ni samaki ni watamu sana..ila biashara ya nafaka hasa mahindi yanalipa sana.

Ila inafaaa ufike visiwani huko biashara inamzunguko sana.

Najua kidogo wengine wataongezea mkuu
Asante mkuu,
 
Back
Top Bottom