Black Mann
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 140
- 209
Hapana mkuu, ndo maana naulizia wenyeweji hapaUlishawahi kufika ukerewe?
Asante kwa ushahurii, wewe ni mwenyeji hukoo??? Hayo machingwa na malimao si Yana msimu?Unaweza chukua nyama ukaleta mwanza machungwa n meng malimao n meng sana kwa ukerewe ukleta mwanza we rud na nguo za spesho zile za kwanzia 4000 mpka 16000 mana weng awanhnui za kufka 25000 uko nakuendelea nenda visiwa vyote goba ghana ukara nk utapga hela zako mpka ujishangae
Tatizoo hilooooooUsisahau kujipoza na ugumu wa maisha kupitia mabinti wa kikerewe wanayaweza mambo.
Kazi na dawa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ni vizuuri ukatembelea mwenyewe.Habari za jioni Ndugu zangu,
Naomba kufahamu fursa za biashara zilizopo Ukerewe, pia kama kuna mwenyewe hapa aliyepo kule naomba tuwasiliane, nimesikia kuna fursa nyingi za biashara maana hakuna Huduma nyingi saana mpaka usogee mwanza kabisaa!!
Fanya ufike harafu Mambo mengine yatafuata. Ukerewe ni muunganiko wa visiwa kadhaa lakini kisiwa kikubwa ni Nansio na ndio kimebeba jina la wilaya.Hapana mkuu, ndo maana naulizia wenyeweji hapa
Sawa mkuu, asanteeeFanya ufike harafu Mambo mengine yatafuata. Ukerewe ni muunganiko wa visiwa kadhaa lakini kisiwa kikubwa ni Nansio na ndio kimebeba jina la wilaya.
Asante mkuu,Biashara ya ngele
Wanaita jingele. Hawa ni samaki ni watamu sana..ila biashara ya nafaka hasa mahindi yanalipa sana.
Ila inafaaa ufike visiwani huko biashara inamzunguko sana.
Najua kidogo wengine wataongezea mkuu
Ha ha haaaaaWachawi hatari,ila kuna vibinti vizuri vyeusi vitamu sana
Kuna jamaa yangu aliwahi pigwa denda na binti wa ukerewe mpaka leo huwa anasimuliaUsisahau kujipoza na ugumu wa maisha kupitia mabinti wa kikerewe wanayaweza mambo.
Kazi na dawa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo tuwekeze kwenye kumbi za muziki na disko vumbi sioUkerewe hakuna mziki wa maana(disko)
Hawa jamaa wanapenda mziki hatari
Hata kaoge vipi lakini wakati unakachakata unasikia harufu ya samaki tuWachawi hatari,ila kuna vibinti vizuri vyeusi vitamu sana