dasi besi
Senior Member
- Jun 12, 2015
- 190
- 105
habari zenu wakuu, naitaji kumiliki gari kwa mara ya kwanza na nimetokea kuzipenda gari aina ya ford fiesta au focus ya mwaka 2005 kushuka chini. kwa wale wazoefu wa magari naomba kujua kuhusu uimara, ulaji wa mafuta na spea zake kwa hapa bongo.
asanteni
asanteni