habari zenu wakuu, naitaji kumiliki gari kwa mara ya kwanza na nimetokea kuzipenda gari aina ya ford fiesta au focus ya mwaka 2005 kushuka chini. kwa wale wazoefu wa magari naomba kujua kuhusu uimara, ulaji wa mafuta na spea zake kwa hapa bongo.
asanteni
Pumbavu kweli yaani miaka yote hiyo mjini unashangaa tu endelea kushangaaMimi huwa ninakasirika sana kila ninapoona post zinazo husu Magari. Sababu kubwa ni wivu, na sina mkoko....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kweli mimi ni pumbaf sana, kwasababu hata mjini sijawahi kukanyaga.Pumbavu kweli yaani miaka yote hiyo mjini unashangaa tu endelea kushangaa
Hahaa! Pambana bwana mdogo upate heshima mjini hapa,utapanda daladala had linKweli mimi ni pumbaf sana, kwasababu hata mjini sijawahi kukanyaga.
Nipo huku kijijini namtunza mamayako ambapo ukujiga unaniitaga uncle... tehteehhh
Tukikuja mjini mimi na mama yako, utanionyesha njia mnazo tumia huko mjini kupambana.... tehteehhhHahaa! Pambana bwana mdogo upate heshima mjini hapa,utapanda daladala had lin
kila mtu JF ana gari mkuu, Hongera kwa kuwa mkweli. Be You...Mimi huwa ninakasirika sana kila ninapoona post zinazo husu Magari. Sababu kubwa ni wivu, na sina mkoko....
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sawa mkuuusikasirike mkuu ikubali hali na wivu wako uwe postive