Naomba kufahamu gawio la hisa moja ya vodacom 2019

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Nimesoma kupitia magazeti kuwa Vodacom wamepata faida nzuri sana baada ya kodi. Naomba kufahamu nikiwa mwanahisa wa Voda. Je gawio kwa hisa moja kwa mwaka 2019 ni kiasi gani?.
 
Mkuu sheria inasema hivi hupaswi kununua hisa kwa kutumia mkopo au mshahara.
 
Ya mwenye kampuni hujui utaratibu ukoje? Fuatilia tu kilichoamuliwa na board of directors kwa sababu sehemu ya faida au faida yote wanaweza kuamua wafanye investment
 
Nimesoma kupitia magazeti kuwa Vodacom wamepata faida nzuri sana baada ya kodi. Naomba kufahamu nikiwa mwanahisa wa Voda. Je gawio kwa hisa moja kwa mwaka 2019 ni kiasi gani?.
Nimesoma kupitia magazeti kuwa Vodacom wamepata faida nzuri sana baada ya kodi. Naomba kufahamu nikiwa mwanahisa wa Voda. Je gawio kwa hisa moja kwa mwaka 2019 ni kiasi gani?.
 
Mi Nilitumiwa kama elfu 69 gawio lakini Cjafuatilia sana kwamba Ni kiasi Gani kwa kila share
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…