Naomba kufahamu Gharama za ACCA Dar es salaam

Naomba kufahamu Gharama za ACCA Dar es salaam

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
wakuu habari za mda huu;

mm ni mhitimu wa bachelor of commerce in accounting(UDSM)

ninahitaji kufanya mitihani ya ACCA,nipo dsm...naomba kujua gharama zake na mahali husika.

pia kama kwa mtu kama mm ninatakiwa kufanya mitihani mingapi ili kupata hiyo acca.

shukrani sana kwa msaada wenu.
 
Kuna rafiki yangu anasomea acca kenya ananambia ni masomo 10 kama umemaliza accounts. Ila ukimaliza na ukataka cpa ya bongo na ufanye kazi bongo inabidi upige business law na taxation
 
Kuna rafiki yangu anasomea acca kenya ananambia ni masomo 10 kama umemaliza accounts. Ila ukimaliza na ukataka cpa ya bongo na ufanye kazi bongo inabidi upige business law na taxation

shukran kaka,vp gharama zake zikoje,na hapa dsm ni wapi mahali husika.
 
Back
Top Bottom