marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
bado,ninataka kufanya acca badala ya cpa,,kuna ubaya kakaCPA umemalza?
Kuna rafiki yangu anasomea acca kenya ananambia ni masomo 10 kama umemaliza accounts. Ila ukimaliza na ukataka cpa ya bongo na ufanye kazi bongo inabidi upige business law na taxation
bado,ninataka kufanya acca badala ya cpa,,kuna ubaya kaka