Naomba kufahamu gharama za kusajili kampuni mtandaoni

008845

New Member
Joined
Dec 19, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Jamani naomba kujua process na gharama za kufanya usajili wa kampuni ya media (online media)
 
Jamani naomba kujua process na gharama za kufanya usajili wa kampuni ya media (online media)
Kama ni KAMPUNI. nenda BRELA na TRA watamaliza issue yako. Pia usisahau Leseni TCRA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…