M maleka Senior Member Joined May 23, 2013 Posts 143 Reaction score 33 Jan 12, 2015 #1 Kwa mwenye ufahamu naomba kujua gharama zoote kwa kozi hii hapo udsm..nipo kijijini sina access ya network ambapo ningeweza kudownload. Ahsanten
Kwa mwenye ufahamu naomba kujua gharama zoote kwa kozi hii hapo udsm..nipo kijijini sina access ya network ambapo ningeweza kudownload. Ahsanten
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jan 12, 2015 #2 Million 6-8.
M maleka Senior Member Joined May 23, 2013 Posts 143 Reaction score 33 Jan 13, 2015 Thread starter #3 Perry said: Million 6-8. Click to expand... thanks, bt naomba mchanganuo zaidi hadi kufikia hiyo (6-8) Million.
Perry said: Million 6-8. Click to expand... thanks, bt naomba mchanganuo zaidi hadi kufikia hiyo (6-8) Million.
K K A B U R U JF-Expert Member Joined Nov 24, 2011 Posts 891 Reaction score 1,199 Jan 13, 2015 #4 Tuition fee ni 8.5m payable in four installments in each semesters. Other direct costs like Id and students union fees hazizidi 150,000.00 per annum Add your own living costs tunatofautiana sana emwo hili kulingana na standard you want to maintain.
Tuition fee ni 8.5m payable in four installments in each semesters. Other direct costs like Id and students union fees hazizidi 150,000.00 per annum Add your own living costs tunatofautiana sana emwo hili kulingana na standard you want to maintain.
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,319 Jan 13, 2015 #5 maleka said: Kwa mwenye ufahamu naomba kujua gharama zoote kwa kozi hii hapo udsm..nipo kijijini sina access ya network ambapo ningeweza kudownload. Ahsanten Click to expand... Soma kidogo hapa, itakupa mwanga kidogo! Directorate of Postgraduate Studies - The Full Time MBA Programme
maleka said: Kwa mwenye ufahamu naomba kujua gharama zoote kwa kozi hii hapo udsm..nipo kijijini sina access ya network ambapo ningeweza kudownload. Ahsanten Click to expand... Soma kidogo hapa, itakupa mwanga kidogo! Directorate of Postgraduate Studies - The Full Time MBA Programme