TBskiwango
New Member
- Apr 6, 2023
- 1
- 0
Habari za wakati huu wana jukwaa
Lipo jambo la kuwashirikisha ili niweze kupat uwelewa zaid juu ya jambo hilo na pia iwe tija kwa wana jamii wengine kupata tarifa sahih pale watakapo hitaji
Kwa miaka mitano sas nime kuwa niki miliki eneo kubwa lilopo karibu kabisa na stendi baada kujitafakari san juu ya kuliendelez nika pata jawabu la kujenga fremu nyingi za biashara ila changamoto ni kipato changu na kuto kuwa na uzofu kabisa kweny maswala ya ujenzi
Ni ombi langu kwa mwana jamii mzoefu na anae fahamu juu ya ujenz wa fremu za biashara afafanue kiundani gharama za kila fremu moja ukubwa wake na mpaka kukamilika ina itaji uwekezaji wa kiasi gani cha pesa
Pia ni ramani gani nzuri ina faa kutumika kwa fremu zaid ya 10 seemu moja zikifatan kwa mzunguko kutengeneza kitu kama U
Asanteni na ninaomb kuwakilisha hilo kwenu kwa heshma kubwa