Naomba kufahamu hatua za kubadili jina kisheria na vitu vinavyohitajika

Naomba kufahamu hatua za kubadili jina kisheria na vitu vinavyohitajika

epic

Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
27
Reaction score
5
Anayejua hatua za kubadili jina kisheria na vitu vinavyohitajika ili kubadili jina kisheria
 
Kuna kitu kinaitwa DEED POLL. Tafuta advocate mzuri tu atakubadilishia ndani ya wiki moja tu.
 
Kama upo dsm njoo bibi titi road sido house ghorofa ya kwanza
Chumba no 14 b smart lawyers karibu
 
Back
Top Bottom