Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay! Umeeleza vizuri nimeielewa BADO SAN nayo nikipata maelezo kama haya itakuwa unyama sanaSio mwamba wa Networking ila nahisi nafahamu kitu kuhusu NAS.
Chukulia una PC yako desktop ya kawaida, ili u access vitu vyake lazima uwe nayo hapo, huwezi access mafile ukiwa mbali nayo.
Hilo tatizo likaja zibwa kwa kutumia NAS, Hapa unakua na PC yako unaweka Hard disk zako za kutosha au SSD zenye mafile yako yote mfano picha, nyimbo, movie, documents etc, then unaiconnect kwa internet ya nyumbani na kuiacha ifanye kazi masaa 24.
Wewe unakua na log in details za hiyo computer yako, so hata ukiwa mbali na PC yako ila una internet access unaingia tu na kucheki movie zako au nyimbo.