kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Sio wahindi wale na wala hawapendi kufananishwa na wahindi wale ni wa Bangladesh.Kibongo bongo sio wabaya kivile ingawa ni wahindi.
Salary ni laki 9,ukipelekwa mkoani huko watakupangishia nyumba pia.
Na asisahau pia kuna wateja sugu hapa lazma sura iwe na mikunjo ya kutosha hlf ujue pia kuruka ukuta maana kuna wateja wana balaa waliwah mfungulia mbwa mshikaji wangu,hawakumkuta eneo la Biashara wakaenda kumdai nyumbani kilichowakuta hawatoweza sahau,lkn pia fanya mazoezi madogo madogo mbio ni muhimu sana kuwa nazo hasa kama ukianza kama loan officerSio wahindi wale na wala hawapendi kufananishwa na wahindi wale ni wa Bangladesh.
Mara nyingi ajira zao wanazitoa kwa masharti kati ya wazamini wako mmoja anatakiwa kuwa mzazi na mwingine awe muajiliwa wa serikali.
Unaweza kuwa umeomba kama mwasibu kule unaenda kuanza kama loan officer.
ππππ yan wabongo Kurdish hel n kazNa asisahau pia kuna wateja sugu hapa lazma sura iwe na mikunjo ya kutosha hlf ujue pia kuruka ukuta maana kuna wateja wana balaa waliwah mfungulia mbwa mshikaji wangu,hawakumkuta eneo la Biashara wakaenda kumdai nyumbani kilichowakuta hawatoweza sahau,lkn pia fanya mazoezi madogo madogo mbio ni muhimu sana kuwa nazo hasa kama ukianza kama loan officer
Ndio maana wanatangaza nafasi za kazi kila leo.Sio wahindi wale na wala hawapendi kufananishwa na wahindi wale ni wa Bangladesh.
Mara nyingi ajira zao wanazitoa kwa masharti kati ya wazamini wako mmoja anatakiwa kuwa mzazi na mwingine awe muajiliwa wa serikali.
Unaweza kuwa umeomba kama mwasibu kule unaenda kuanza kama loan officer.
Wako vizuri ila ficha maendeleo yako..Habari zenu?
Hawa Asa microfinance mwezi uliopita walitangaza nafasi za kazi mbalimbali, mimi nilikua ni miongoni mwa wengi tulioapply.
Sasa wamenipigia na kunitumia ujumbe kuwa siku ya jumatatu kutakua na usaili wa nafasi ya uhasibu ofisini kwao kinondoni.
Sasa ningependa kupata dondoo kuwahusu hasa aina ya maswali yao wanayouliza kwa nafasi ya uhasibu na pia mshahara wao na benefits zingine.
Ni hayo tu kwa sasa.
Kama ni mwanaume beba bahasha kama ni mwanamke jiandae kujitoa sadakaHabari zenu?