Joseph Kadasula Member Joined Apr 26, 2016 Posts 33 Reaction score 50 Apr 9, 2025 #1 Habari za muda huu wakuu. Naomba kuuliza, je, huduma za usajili kama cheti cha kuzaliwa mtandaoni, TIN online, BRELA na nyinginezo—ni lazima upate msaada kutoka kwa wahusika, au ni suala la kuwa na ujuzi tu wa kutumia mifumo hiyo?
Habari za muda huu wakuu. Naomba kuuliza, je, huduma za usajili kama cheti cha kuzaliwa mtandaoni, TIN online, BRELA na nyinginezo—ni lazima upate msaada kutoka kwa wahusika, au ni suala la kuwa na ujuzi tu wa kutumia mifumo hiyo?