Naomba kufahamu historia ya Peter DM Bwimbo, aliyekuwa waziri mkuu enzi za Mwl Nyerere

Naomba kufahamu historia ya Peter DM Bwimbo, aliyekuwa waziri mkuu enzi za Mwl Nyerere

Nimekuja mbio maana sikuwahi kumsikia W.mkuu mwenye jina hilo hapa TZ.kumbe mlinzi bhana..
 
Nilimwona Peter Bwimbo kwa karibu sana akiwa inspekta wa Polisi wakati mimi niko darasa la nne zamani sana nikiwa Musoma. Siku hiyo alikuwa amemsindikiza Nyerere kanisani kwenye ibada ya krismasi na mimi nilikuwa mmoja wa watoto tulikuwa tunatumikia kwenye ibada hiyo nikiwa nasoma shule ya Mwembeni. Bwimbo alionekana mtu mtanashati sana, na najua kuna mwanafunzi mwenzagu aliamua kujiunga na jeshi la polisi kutokana na inspiration ya Peter Bwimbo.
 
Siku hiyo alikuwa amemsindikiza Nyerere kanisani kwenye ibada ya krismasi na mimi nilikuwa mmoja wa watoto tulikuwa tunatumikia kwenye ibada hiyo nikiwa nasoma shule ya Mwembeni.
Enzi za Askofu Rudin. Kitambo sana.
 
Back
Top Bottom