papaa flancis
Member
- Aug 2, 2014
- 6
- 0
wadau wote wale wanaosoma physics naomben mnijuze subtopic za mechanics zk ngap na ni zip,kunachalii ananibishia apa
mechanics 1-projectile,circular motion,newtons laws of motions,rotational dinamics,gravitational, mechanics 2-elasticity,fluid mechanics,, nahic kama nimesahau coz niliasoma kitambo
Nilikuwa nachukia kitu inaitwa Rotational Dynamics..
Tehteh vijana mpo pouwa ila tatizo dogo tu hamjui siasa za hii nchi