Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Habari wadau..?
Nimekua mshabiki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa muda mrefu sana.. sasa naona ni Muda sahihi wa kua na kadi ya chama hichi hasa katika kipindi hiki ambapo tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu..
Naamini humu Kuna wanachama wengi wa Chadema, ningependa kujua je, Kuna namna yotote ile ya kujiunga kua mwanachana online? Kama ipo naomba mwongozo tafadhali...