Naomba kufahamu jinsi ya kujiunga Uanachama Wa CHADEMA Online

Wakipekee

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
6,194
Reaction score
10,711
Habari wadau..?

Nimekua mshabiki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa muda mrefu sana.. sasa naona ni Muda sahihi wa kua na kadi ya chama hichi hasa katika kipindi hiki ambapo tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu..

Naamini humu Kuna wanachama wengi wa Chadema, ningependa kujua je, Kuna namna yotote ile ya kujiunga kua mwanachana online? Kama ipo naomba mwongozo tafadhali...
 
 
Tatizo nimekuta namba za kulipia ni Voda na Airtel hakuna Halotel, au sijajua?
 
Ile mitambo yao ya utawala uliopita ilikuwa na magumashi sana.

Tusubiri Utawala Mpya utakuja na mambo Murua.
 
Yap lakini kua mwanachana lazima ulipie kadi yaani uwe hai
Ndio basi kama hauko hai, ww si mwanachama.
Wanachama hai ni yule anashiriki mijadala, kufatilia, na kupenda jambo flani linlohusa chama husika, hata kama hana kadi. Haizuii ww kuwa mwanachama. Ila shabiki si lazma awe mwanachama. Yeye anashabikia tu. Jezi nyeupe yupo, wamepigwa yupo, kauliwa yupo. Shabiki.
 
Hahahha sawa nimekusoma
 
Ni uamuzi mzuri sana!
 
Muweke njia rahisi na ya uwazi ili wapatikane kwa wingi. Supu inyweke ingali moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…