Mwenye ufahamu anisaidie utaratibu wa kuwa wakala wa sports betting Bila kujali ni kampuni ipi Kuna fursa nimeona hapa mtaa naona watu wengi ikifika wkend wanajazana kupiga Ramli tu,
Hii mada jana nimeifuatilia nikaona mwanga mzuri,lakni nilipofungua ile blockchain kama kiongozi alivyoeleza hapo nikashindwa kujaza detail wanazoomba labda atuelekeze namna ya kujaza ni detail gani zinatakiwa hasa