M my king Member Joined Jan 22, 2014 Posts 48 Reaction score 9 Dec 17, 2018 #21 Victor wa happy said: Mkuu kule Ni milimani lakini panafikika vizur tu Unataka uanze kulitumia lini mkuu Click to expand... Nahitaji shamba huko msaada Kiongozi
Victor wa happy said: Mkuu kule Ni milimani lakini panafikika vizur tu Unataka uanze kulitumia lini mkuu Click to expand... Nahitaji shamba huko msaada Kiongozi
Mkulima na Mfugaji JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,047 Reaction score 1,832 Dec 17, 2018 #22 Unataka shamba maeneo gani? my king said: Nahitaji shamba huko msaada Kiongozi Click to expand...
mosabiy JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 2,521 Reaction score 1,927 Dec 17, 2018 #23 Mkulima na Mfugaji said: Unataka shamba maeneo gani? Click to expand... Kwa muheza yanapatikana?
Emmanuel TM Member Joined Sep 25, 2017 Posts 67 Reaction score 88 Dec 20, 2018 #24 Victor wa happy said: Fika muheza ndani ndani kuna kijiji kinaitwa mashewa mashamba ni bei rahisi tofauti na yaliyopo barabara kuu ya Tanga _segera Click to expand... Yanaanzia bei gn mkuu
Victor wa happy said: Fika muheza ndani ndani kuna kijiji kinaitwa mashewa mashamba ni bei rahisi tofauti na yaliyopo barabara kuu ya Tanga _segera Click to expand... Yanaanzia bei gn mkuu
Emmanuel TM Member Joined Sep 25, 2017 Posts 67 Reaction score 88 Dec 20, 2018 #25 Na vipi kilimo cha katani kwa anayekifahAmu vzur msaada wa details
K Kwediduli Member Joined Feb 4, 2019 Posts 14 Reaction score 9 Jun 20, 2024 #26 Kilimo cha michungwa kina faida sana. Changamkieni furs a.
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 2,616 Reaction score 1,282 Mar 10, 2025 #27 Asee