Naomba kufahamu kama kuna universal remote ya radio

Naomba kufahamu kama kuna universal remote ya radio

Lihakanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Posts
4,823
Reaction score
6,416
Kwa muda sasa redio yangu haina remote kitu ambacho hunifanya ili nibadilishe njia ya matumizi ya redio au tv kunilazimu nisimame nikabonyeze button.

Je, ninaweza kupata remote yenye uwezo wa kuendesha redo yoyote?

Au ninaweza kupata remote ya redio husika ambayo ni Topsonic (mchina)?

IMG_20240318_192822_189.jpg
 
Hii ingeenda Jukwaa la Tech. Huku madereva na mafundi wengi hawatatoa majibu.
 
Back
Top Bottom