brian black
New Member
- Mar 3, 2013
- 3
- 0
kuna mtu nilimwambia akanibishia so thamks bro
nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na sikuweza pata matokeo yangu nina wenge sasa ivi sijajua la kufanya hebu nisaidieni
nimetumia jina langu ila ni rafik yangu mwenye tatizo namuamini sana na sidhan kama anaweza zungusha
Ulitaka utumie LEAVING CERTIFICATE ili ufiche Div. Zero yako? ?
Imekula kwako dogo!!