Kesho nasafir kwenda Sumbawanga kutokea hapa dodoma
Naomba kufahamu nipande basi gan la semi luxury ili niaipoteze nauli yangu kwenye basi zenye karaha
Hakunaa...bus la moja kwa moja...pandaa mabas ya mbeyaa.utafikaa jion kama saa 11 hv..af utachagua mwenyew km utaunganishaa àu utalala..kwa midaa ya jion nadhan luna gari moja ya mwisho inaondoka saa 12 mby jion kwenda swang