Naomba kufahamu kilipo kiwanda cha maloba(magunia) kwa hapa Dar

42774277

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2018
Posts
6,835
Reaction score
8,916





Waungwana habari ya jioni

Naomba kufahamu kilipo kiwanda cha haya maloba kwa hapa Dar.

Natanguliza shukrani.
 
Kipo eneo la viwanda Mbagala.
Kituo Zakhiem,mkabala na kiwanda cha Azania,ukifika hapo angaza angaza macho huko na huko utaona kibango getini "POLY BAGS" usipo kiona ulizia hapo hapo utaelekezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…