Naomba kufahamu kisimbusi kitakachoonesha Euro 2016 mbali na DSTV

Hivi vyote ni hamna kitu wadau tushasema kitambo zipo alternative powervu ni mambo yote kuanzia epl,uefa,bundesliga,laliga,ueuro,movies etc pasipo malipo yoyote
Powervu ndio kitu gani hiyo ndugu?
 
Awo star time wangekuwa washafanya matangazo. Sidhani kama wataonyesha awo
 
Hii ikoje, embu tupe maujuzi....nafahamu kuna online TV na ile live soccer TV ya simu but mara nyingi mtandao huwa ni changamoto as mawimbi hayawi clear inayopelekea picha kunasanasa...!!

Tafuta mafundi wanaojua habari ya powervu watakupa habari kamili
 
AZAM TV Wameshatoa matangazo juu kurusha LIVE EURO kupitia Chanel ya ZBC2 ni sahihi naonaga mwenyewe matangazo yao kila siku kwenye tv ya Azam.
AZAM TV Wameshatoa matangazo juu kurusha LIVE EURO kupitia Chanel ya ZBC2 ni sahihi naonaga mwenyewe matangazo yao kila siku kwenye tv ya Azam.

Ili kupata chanel hiyo unanunua kifurushi cha bei gani mkuu
 
Kachukue Bein sport tu, league zote duniani hata hivyo ilikuwa dola mia tu kwa mwaka mpaka waluvyoanza kuonesha Epl imepanda 200$. Siku hizi wameongeza movie channels kama 9 na Geographic km 3. Zote ni HD tu
 
Kwani Bein Sport yenyewe unalipa ngapi kwa kuona kama EPL nijuze apo
 
Maana azam ataonyesha izo gemu kupitia zbc2
 
Decorder ziko aina km 4 lkn nitakupa aina nzuri ndogo unanunua km dola 200 halafu unalipa km 200 tena unaona Epl, la liga, Italy, France, Bundesliga, champions league, Uefa, Caf ya makundi muhimu ni kila kitu na movies juu zote HD
 
Iyo dollars 200 unalipia kwa mwaka au kwa mwezi
 
Kwa nini zbc2 na sio azam sports HD? Nani anajua ssbabu?
 
Dah coconut digital tv but nahisi Tanzania bara havijafika ila sina hakika maybe washafika.
 
Decorder ziko aina km 4 lkn nitakupa aina nzuri ndogo unanunua km dola 200 halafu unalipa km 200 tena unaona Epl, la liga, Italy, France, Bundesliga, champions league, Uefa, Caf ya makundi muhimu ni kila kitu na movies juu zote HD
Mkuu kuna fundi aliniambia DSTV ndio wenye patent right ya kuonyesha mpira Tanzania hii , na akijua anakukimbiza umuache, sijajua ameingia mkataba na selikali au ni nani?
Kuna madish ya dubai yamekuf soko sababu wao ni dolla 100 kwa mwaka DsTV alienda shitaki ameingia kwenye soko lake,
Kama inawezekana na sisi tupi soko huria waruhusu tu yeyote watz tupate unafuu wa kuona ya mbele
 
Tanzania haina mkataba ni Epl wakati wana bid inakuwa katika inagawa rights, Bein walishinda Middle east na North Africa na Dstv wao rest of Africa. Unachukuwa Bein sio rasmi muhimu wewe ukipata signal nyumbani kwako agiza Bein decorder. Dstv wanaumiza watu sana mbona Bein bei inakubalika na unaona kila league. Ziko chanel 17 zote Hd sports.
 
tunazipataje hizo Decorder naitaka sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…