Mkuu hiko chuo kipo Tanga wilaya y Lushoto, inshort mazingira yake sio condusive kiviile kww mtu kama mimi ambae nachukia baridi na mazingira ya porini kiaina. Kuhusu taaluma yake bado sijaweza kua deep sana ila hakiko vibaya. Ila pia inategemea unaenda chukua course gani. Ni hayo tu ndugu nifahamuyo.